Isabelle Axelsson

Mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Uswidi

Isabelle Axelsson (amezaliwa 2000/2001)[1] ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Stockholm, Uswidi.[2][3]

Axelsson amekuwa mwanaharakati na mratibu wa Fridays for Future Sweden tangu Desemba 2018.[4][5] Mwisho wa Januari 2020, alihudhuria Mkutano wa Uchumi Ulimwenguni World Economic Forum huko Davos pamoja na wanaharakati wengine wa hali ya hewa, ambao ni Greta Thunberg, Luisa Neubauer, Loukina Tille na Vanessa Nakate.[6][7]

Alikuwa mchangiaji wa kitabu kilichoitwa Gemeinsam für die Zukunft - Fridays For Future und Scientists For Future: Vom Stockholmer Schulstreik zur weltweiten Klimabewegung. Katika kitabu hicho, alichangia maelezo kutoka ndani ya Fridays for Future, kumpa msomaji mtazamo kutoka kwa mtu ndani ya Fridays for Future.[8]

Axelsson ana tawahudi.[9]

Marejeo

hariri
  1. "Young climate activist fears words not action at Davos", Reuters, 24 January 2020. (en) 
  2. "Isabelle Axelsson och Sophia Axelsson talar för Greta Thunberg | Nordisk Samarbejde". norden.org (kwa Kiswidi). Nordic Council. Iliwekwa mnamo 2020-01-28.
  3. Cotton, Johnny. "Young climate activist fears words not action at Davos", Reuters, 24 January 2020. 
  4. Rydberg, Jenny (23 Mei 2019). "Klimatstrejk i över hundra länder". ekuriren.se (kwa Kiswidi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-09. Iliwekwa mnamo 2020-01-28. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Annebäck, Karin (20 Agosti 2019). "Klimatfrågan har inte tagits på allvar". ETC (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2020-01-28.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Walker, Darren. "Charity won't fix inequality. Only structural change will", The Guardian, 27 January 2020. 
  7. Dahir, Ikran (24 Januari 2020). "A Ugandan Climate Activist Was Cropped Out Of A News Agency Photo Of Greta Thunberg At Davos". BuzzFeed News. Iliwekwa mnamo 2020-01-28.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. transcript. "Axelsson, Isabelle". transcript Verlag (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2021-02-11.
  9. "Girl power goes green: Teens strike for action on climate change", NBC News. (en) 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isabelle Axelsson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje

hariri