Isack Aloyce Kamwelwe
Isack Aloyce Kamwelwe (amezaliwa 30 Aprili 1956) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Katavi kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe Aloyce Mb | |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
| |
Aliingia ofisini 1 Julai 2018 | |
Rais | Mhe. Dkt. John Magufuli |
---|---|
mtangulizi | Makame Mbarawa |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji
| |
Muda wa Utawala 7 Octoba 2017 – 1 Julai 2018 | |
Rais | Mhe. Dkt. John Magufuli |
mtangulizi | Gerson Lwenge |
aliyemfuata | Makame Mbarawa |
Mbunge wa Katavi
| |
Muda wa Utawala 2015 – 16 Juni 2020 | |
Rais | Mhe. Dkt. John Magufuli |
tarehe ya kuzaliwa | Aprili 30, 1956 |
utaifa | Mtanzania |
chama | CCM |
Fani yake | Mhandisi |
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |