Istunka
Istunka (pia hujulikana kama Dabshid[1]) ni aina ya mchezo wa kupigana wenye asili ya Somalia ambao hukutanisha watu wawili au zaidi ambao wanaweza kuucheza kwa kuchapana kwa fimbo kwa kupokezana. Utamaduni huu husherehekewa kila mwaka.
Mchezo huo wa kitamaduni wa mbinu za kujihami ulianza katika karne ya 17 wakati wa utawala wa Sultan wa Geledi [2] na umekua ni mchezo wenye kuwavutia watalii [3]
Tanbihi
hariri- ↑ "Istunka- A Yearly Ritual". WardheerNews (kwa Kiingereza). 2015-09-18. Iliwekwa mnamo 2020-02-23.
- ↑ Ricky Riley (2015-11-04). "7 African Martial Arts You Probably Didn't Know Existed". Atlanta Black Star (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-02-23.
- ↑ "Istunka Origin | | Free Martial Arts Information" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-23. Iliwekwa mnamo 2020-02-23.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Istunka kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |