It's About Time (albamu ya Christina Milian)


It's About Time ni albamu ya pili ya mwimbaji wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Albamu ilitolewa na studio ya Island Records mnamo 15 Juni 2004 katika Japan, na 13 Julai 2004 katika Marekani.[2]

It's About Time
It's About Time Cover
Studio album ya Christina Milian
Imetolewa 15 Juni 2004 (Japan)
13 Julai 2004 (Marekani)
Imerekodiwa 2003–2004
Aina R&B, pop, urban pop
Urefu 47:26
Lebo Island
Mtayarishaji Bloodshy na Avant, Bradley & Stereo, Fontez Camp, Warryn Campbell, Bryan Michael Cox, Jasper Da Fatso, Rodney Jerkins, Poli Paul, Cory Rooney, Ez Tommy
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Christina Milian
Christina Milian
(2001)
It's About Time
(2004)
So Amazin'
(2006)

Albamu hii imekuwa kama ya kwanza kwa Milian katika U.S. kwa tokeo la shambulio la kigaidi la 11 Septemba 2001, ambalo lilitokea wiki mbili kabla ya kutoa albamu yake ya awali. Kwa upande wa matayarisho ya albamu hii, Milian amefanya kazi na Bloodshy na Avant, Darkchild, Cory Rooney, Warryn Campbell, Bryan Cox na Poli Paul.

Albamu imepata kushika nafasi ya kumi na nne katika U.S. Billboard 200 Bora na kushika tena nafasi ya ishirini na moja katika UK, kwa kuuza jumla ya kopi 382,000 na 63,708 kisawawa. Albamu imetunikiwa medani ya fedha katika UK, na kupokea Tuzo za Grammy ikiwa kama albamu bora ya muizki wa R&B.

Single kutoka katika albamu hii ni Dip It Low ikifuatiwa na Whatever U Want ambayo kaimba na msanii Joe Budden, lakini single hizi zote mbili hazikupata mafanikio makubwa kabisa katika US na UK kwa ujumla.[3][4]

Orodha ya nyimbo hariri

  1. "Intro"–1:06
  2. "Dip It Low" (akimshirikisha Fabolous)–3:39
  3. "I Need More"–3:17
  4. "Whatever U Want" (akimshirikisha Joe Budden)–3:49
  5. "Someday One Day"–4:32
  6. "Highway"–3:33
  7. "I'm Sorry"–3:44
  8. "Get Loose"–3:37
  9. "L.O.V.E" (akimshirikisha Joe Budden)–4:21
  10. "Peanut Butter & Jelly" (akimshirikisha Joe Budden)–3:46
  11. "Miss You Like Crazy"–4:49
  12. "Oh Daddy"–3:55
  13. "I Can Be That Woman" [wimbo wa ziada wa kimataifa]–3:13
  14. "Hands on Me" [wimbo wa ziada wa UK]–3:06

Toleo la Kijapani hariri

  1. "Dip It Low"–3:16
  2. "L.O.V.E."–3:45
  3. "Down for You"–3:39
  4. "Someday One Day"–4:31
  5. "Highway"–3:33
  6. "I Can Be That Woman"–3:13
  7. "Peanut Butter & Jelly"–3:46
  8. "Hands on Me"–3:06
  9. "7 Days"–4:17
  10. "Oh Daddy"–3:55
  11. "Miss You Like Crazy"–4:49
  12. "Dip It Low" [Remix] (akimshirikisha S-Word)–3:55
  13. "Dip It Low" [Full Intension Dub]–5:46
  14. "You Snooze, You Lose" [wimbo wa ziada]–3:31

Chati hariri

Chati Nafasi
iliyoshika[5][6]
Dutch Albums Chart 66
French Albums Chart 83
German Albums Chart 55
Swiss Albums Chart 35
Ireland Albums Chart 74
UK Albums Chart 21
U.S. Billboard 200 14

Marejeo hariri

  1. Gardner, Elysa (2004-06-14). "Phish's Final Studio Effort Flounders". USA Today. Iliwekwa mnamo 2008-07-25. 
  2. "Discography — Christina Milian — Discography — It's About Time". Billboard. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2008-09-12. 
  3. "New music reviews Life after Creed", en:San Antonio Express-News, 20 Agosti 2004. Retrieved on 2008-09-14. 
  4. Capobianco, Ken. "Christina Milian — It's About Time", The Boston Globe, 25 Juni 2004. Retrieved on 2008-09-14. 
  5. "Christina Milian  – It's About Time  – Music Charts". aCharts.us. Iliwekwa mnamo 2008-08-22. 
  6. "Christina Milian  – It's About Time". Swiss Music Charts. Iliwekwa mnamo 2008-08-22.