Italia ya Kati

(Elekezwa kutoka Italia ya kati)

Italia ya Kati ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Lazio, Marche, Toscana na Umbria.

Kwa jumla ni km2 58,052 na wakazi 12,068,519[2]

Tanbihi hariri

  1. http://epp.eurostat.ec.europa.eu/portal/page/portal/nuts_nomenclature/introduction
  2. "Dato Istat al 30/11/2014". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-16. Iliwekwa mnamo 2017-03-07. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Italia ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.