Lazio
Lazio ni mkoa wa Italia. Uko katikati, upande wa magharibi.

Bendera ya Lazio

Mahali pa Lazio katika Italia.
Ni mkoa wa pili kwa wingi wa wakazi na kwa uchumi baada ya Lombardia.
Mji mkuu wake ni Roma, ambao ni pia mji mkuu wa taifa na mji mkubwa kuliko yote nchini.
Tazama piaEdit
Viungo vya njeEdit
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
Mikoa ya kawaida | |
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
Mikoa yenye katiba ya pekee | |
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lazio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |