J. Kevin Boland
John Kevin Boland (alizaliwa Ireland, 25 Aprili 1935) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki ambaye ni raia wa Marekani.
Boland alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Savannah, Georgia, kuanzia 1995 hadi 2011.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "John Kevin Boland-Diocese of Savannah". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-31. Iliwekwa mnamo 2016-01-04.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |