Jabari Ni jina linalo wakilisha mtu mwenye nguvu ,mwili mkubwa na misuli mingi,neno jabari limetoholewa kutoka katika lugha ya kiarabu ambalo mara nyingi hupewa vijana wakiume wakimarekani wenye asili ya kiafrika ,pia neno jabari linaweza kutumika kama jina la katika lugha ya kiarabu.

[1] hariri

marejeo hariri

  1. "Jabari". Oh Baby! Names (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-08-12.