Jacinda Kate Laurell Ardern (amezaliwa 26 Julai 1980) ni mwanasiasa wa Nyuzilandi ambaye ametumikia kama waziri mkuu wa 40 wa Nyuzilandi na Kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi tangu mwaka 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacinda Ardern kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.