Walter Jackson Bate (23 Mei 191826 Julai 1999) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mara mbili, kwanza 1964 kwa wasifu wake wa John Keats, halafu tena 1978 kwa wasifu wake wa Samuel Johnson.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jackson Bate kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.