Jacob Dalali Shibiliti

Jacob Dalali Shibiliti (amezaliwa tar. 12 Desemba 1960) ni mbunge wa jimbo la Misungwi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Jacob Dalali Shibiliti". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.