Jacob Stephen
Jacob Stephen[1] anayejulikana kwa jina lake la kisanii kama JB pia Bonge la bwana ni msanii wa maigizo, mtayarishaji wa filamu na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anajulikana sana kwa uhusika wake katika filamu ya Dj Ben[2]akishirikiana na Wema Sepetu pamoja na Irene Uwoya[3].
Filmografia
haririHizi ni baadhi ya filamu ambazo muigizaji Jacob Steohen ameshiriki[4]
Mwaka | Filamu | Uhusika |
---|---|---|
2011 | Dj Ben | Dj Ben |
2014 | Hukumu ya Ndoa Yangu | Mtayarishaji |
Lost Adam | ||
Off Side | ||
2010 | Fair Decision | |
Senior bachelor | ||
Peace of Mind |
Marejeo
hariri- ↑ "JB atoa ya moyoni kueleza anavyompenda mke wake – Bongo5.com". bongo5.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-17.
- ↑ "JB: Richie alinishawishi kuigiza | East Africa Television". eatv.tv (kwa Kiingereza). 2014-04-28. Iliwekwa mnamo 2022-10-17.
- ↑ "Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa Kupata Mtoto Mpaka Sasa, Sijawahi Kuwa na Mchepuko..!!!". UDAKU SPECIAL (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-10-17.
- ↑ Jacob Stephen Ilihifadhiwa 16 Juni 2013 kwenye Wayback Machine. katika '''Bongo Cinema'''
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacob Stephen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |