Hukumu ya Ndoa Yangu
'Hukumu ya Ndoa Yangu ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2014 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Fatuma Makongoro (Bi. Mwenda), Jacob Stephen (JB) na Shamsa Ford. Filamu imeongozwa na Adam Kuambiana na kutayarishwa na Jerusalem Film Co. inayomilikiwa na JB. Chini ya usambazaji wa Steps Entertainment ya Dar es Salaam. Filamu inahusu wanandoa wanaopitia magumu ya familia upande wa kiumeni kuoneshana kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao. Shamsa kaonesha uvumilivu wa hali katika kutetea ndoa yake. Filamu ina sehemu ya kwanza na ya pili kama jinsi ilivyo filamu nyingi za Tanzania. [1]
Hukumu ya Ndoa Yangu | |
---|---|
Posta ya Hukumu ya Ndoa Yangu | |
Imeongozwa na | Adam Kuambiana |
Imetayarishwa na | Jerusalem Film Co. |
Imetungwa na | Aisha |
Nyota | Fatuma Makongoro Jacob Stephen Shamsa Ford |
Muziki na | Hussein Njenje |
Imesambazwa na | Steps Entertainment |
Imetolewa tar. | 11 Agosti, 2014 |
Ina muda wa dk. | Dk. 70 |
Nchi | Tanzania |
Lugha | Kiswahili |
Washiriki
haririMarejeo
hariri- ↑ Hukumu ya Ndoa Yangu Archived 3 Agosti 2017 at the Wayback Machine. katika Bongo Cinema.com
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hukumu ya Ndoa Yangu kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |