Jacqueline Kandidus Ngonyani

Jacqueline Kandidus Ngonyani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020 [1] akatudishwa vile mwaka 2020.[2]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
  2. Hon. Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi), tovuti ya bunge la Tanzania, iliangaliwa Aprili 2022