Kilopwe
(Elekezwa kutoka Jacquemontia tamnifolia)
Kilopwe (Jacquemontia tamnifolia) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Kilopwe au kikopwe (Jacquemontia tamnifolia) ni mmea katika familia Convolvulaceae unaofanana na kiazi pori na kwa hivyo unatambaa juu ya vichaka na miti. Maua yake ni buluu.
Picha
hariri-
Mmea unaofanana na kilopwe (Jacquemontia pentantha)
-
Ua la Jacquemontia pentantha