Jada Pinkett Smith

Mugizaji wa Marekani na mfanya biashara

Jada Koren Pinkett Smith (/ˌdə ˌpɪŋkɨt ˈsmɪθ/; amezaliwa na jina la Jada Koren Pinkett; mnamo Septemba 18, 1971)[1] ni mwigizaji wa filamu, mtunzi-mwimbaji wa nyimbo, na mfanyabiashara kutoka nchi ya Marekani. Alianza shughuli zake mnamo 1990, wakati alipofanya uhusika wa kualikwa katika ucheshi uliodumu kiasi True Colors. Amecheza katika filamu ya vichekesho A Different World, iliyotayarishwa na Bill Cosby, na pia akashiriki pamoja na Eddie Murphy kwenye filamu ya The Nutty Professor (1996). Ameshiriki filamu za maigizo kama vile Menace II Society (1993) na Set It Off (1996). Ameonekana katika filamu zaidi ya 20 za mitindo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Scream 2, Ali, The Matrix Reloaded, The Matrix Revolutions, Madagascar, Madagascar: Escape 2 Africa, na Madagascar 3: Europe's Most Wanted.

Jada Pinkett Smith
Pinkett Smith kwenye NY PaleyFest 2014 kwa ajili ya Gotham
AmezaliwaJada Koren Pinkett
18 Septemba 1971 (1971-09-18) (umri 53)
Majina mengineJada Koren (with Wicked Wisdom)
Kazi yakeMwigizaji, mtunzi wa nyimbo-mwimbaji, mfanyabiashara
Miaka ya kazi1990–hadi sasa
NdoaWill Smith (m. 1997–present) «start: (1997)»"Marriage: Will Smith to Jada Pinkett Smith" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Jada_Pinkett_Smith)
WatotoJaden and Willow
Tovuti
jadapinkettsmith.com

Mwaka wa 1997, aliolewa na rapa na mwigizaji Will Smith. Wana watoto wawili, Jaden na Willow. Wawili hawa wameanzisha Will and Jada Smith Family Foundation, asasi ya kutoa misaada inayotazamia hasa vijana waishio mijini ili waweze kujikimu na vilevile wanafanya kazi na asasi zingine zisizo za kiserikali kama vile  YouthBuild na Lupus Foundation of America.

Filmografia

hariri
Film
Mwaka
Jina
Uhusika
Maelezo
1993 Menace II Society Ronnie
1994 The Inkwell Lauren Kelly
1994 Jason's Lyric Lyric
1994 A Low Down Dirty Shame Peaches
1995 Demon Knight Jeryline
1996 The Nutty Professor Carla Purty
1996 If These Walls Could Talk Patti Made for television movie
1996 Set It Off Lida "Stony" Newsome
1997 Scream 2 Maureen Evans Cameo; credited as "Jada Pinkett"
1997 Princess Mononoke Toki Sauti
1998 Woo Darlene
1998 Blossoms and Veils Raven Filamu fupi
1998 Return to Paradise M.J. Dc
1999 Princess Mononoke Toki sauti

Dabio la Kiingereza

2000 Bamboozled Sloan Hopkins
2001 Kingdom Come Charisse Slocumb
2001 Ali Sonji Roi
2003 The Matrix Reloaded Niobe
2003 Enter The Matrix Niobe Full Motion Video video game, voice, and motion capture performance
2003 The Matrix Revolutions Niobe
2003 Maniac Magee Amanda Beale
2004 Collateral Annie Farrell
2005 Madagascar Gloria sauti
2007 Reign Over Me Janeane Johnson
2008 The Women Alex Fisher
2008 Madagascar: Escape 2 Africa Gloria sauti
2008 The Human Contract Rita Debuted at Cannes Film Festival in May 2008.[2]

Written and directed by Pinkett Smith.

2009 Merry Madagascar Gloria sauti
2012 Madagascar 3: Europe's Most Wanted Gloria sauti
2013 Madly Madagascar Gloria sauti
2015 Magic Mike XXL Rome
Televisheni
Mwaka
Jina
Uhusika
Maelezo
1990 True Colors Beverly Kisa 1
1990 Moe's World Natalie Filamu ya Televisheni
1991 21 Jump Street Nicole Kisa 1
1991 Doogie Howser, M.D Trish Andrews Kisa 1
1991–1993 A Different World Lena James Visa 42
2009–2011 Hawthorne Christina Hawthorne Uhusika Mkuu
2014–2015 Gotham Fish Mooney Mshiriki wa kawaidaular

Marejeo

hariri
  1. "Jada Pinkett-Smith – Biography". MSN. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-08. Iliwekwa mnamo 2008-10-02. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  2. Swart, Sharon (2008-05-18). "'Contract' players play Cannes". Variety.com. Reed Elsevier. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.