18 Septemba

tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 18)
Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 18 Septemba ni siku ya 261 ya mwaka (ya 262 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 104.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Oseani wa Nikomedia, Ariana mfiadini, Fereolo wa Vienne, Eustorji wa Milano, Eumeni, Yosefu wa Kopertino, Dominiko Trach, Maria wa Purisima n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 18 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.