Jaji Mkuu wa Tanzania

Jaji mkuu wa Tanzania ni cheo ama wadhifa wa juu zaidi katika mfumo wa mahakama wa Tanzania . Jaji mkuu huteuliwa na Rais wa Tanzania na huongoza Mahakama ya Rufani ya Tanzania. [1]

Historia

hariri

Baada ya Vita vya Kwanza vya dunia, wakoloni wa zamani wa Tanganyika ,wajerumani waliwekwa chini ya mamlaka ya Uingereza katika Mkataba wa Versailles mwaka wa 1919. [2] Mwaka mmoja baadaye, Mahakama Kuu ilianzishwa kwa sheria katika Baraza na nafasi ya jaji mkuu ikaundwa. [3] Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 na baada ya mwaka mmoja ikageuzwa kuwa jamhuri. [4]

Marejeo

hariri
  1. Peter and Bisimba (2007), p. 326
  2. Skinner (2005), . 184
  3. Peter and Bisimba (2007), p. 62
  4. Heyns (1997), p. 282