Jakub Kamiński

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Poland (aliyezaliwa 2002)

Jakub Piotr Kamiński (alizaliwa 5 Juni 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Upoli, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Poland.

Marejeo

hariri
  1. "Jakub Piotr Kamiński | VfL Wolfsburg | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jakub Kamiński kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.