Jambo ni salamu ya Kiswahili ambayo inafanana kimaana na neno la Kiingereza Hello[1].
Jambo ni neno la lugha ya Kiswahili ambalo limo katika ngeli 5-6.
Asili ni kitenzi -amba kikimaanisha kusema.