James Alan McPherson

James Alan McPherson (16 Septemba 194327 Julai 2016) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1978, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Elbow Room.

Faili:James Alan McPherson.jpg
James Alan McPherson
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Alan McPherson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.