James Michener
James Albert Michener (3 Februari 1907 – 16 Oktoba 1997) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa riwaya zinazoeleza historia ya nchi au eneo la dunia. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya mkusanyiko wake “Hadithi za Pasifiki ya Kusini” (kwa Kiingereza: Tales of the South Pacific) iliyoandikwa mwaka wa 1947.
James Michener | |
Amezaliwa | James Albert Michener 3 Februari 1907 Pennsylvania, Marekani |
---|---|
Amekufa | 16 Oktoba 1997 Texas, Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James Michener kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |