James Mnanka Wanyancha

James Mnanka Wanyancha (amezaliwa tar. 25 Desemba 1952) ni mbunge wa jimbo la Serengeti katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu James Mnanka Wanyancha". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-24. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.