James Oscar McKinsey (Juni 4, 1889Novemba 30, 1937) alikuwa Mmarekani maarafu kama mhasibu, mshauri wa masuala ya usimamizi, profesa wa uhasibu katika Chuo Kikuu cha Chicago na mwanzilishi wa kampuni ya McKinsey & Company.[1]

James O. McKinsey (1889-1937)

Baadhi ya vitabu vyake

hariri
  • McKinsey, J.O. Bookkeeping and Accounting. Cincinnati: South-Western, 1920.
  • McKinsey, James O. Budgetary control. New York: The Ronald Press, 1922.
  • McKinsey, James Oscar. Managerial Accounting. Vol. 1. University of Chicago Press, 1924.
  • McKinsey, James O. Business Administration. South-Western Publishing Co, Cincinnati, Ohio 1924.

Marejeo

hariri
  1. Flesher, Dale L. and Tonya K. Flesher. "McKinsey, James O. (1889-1937) Archived 2012-12-14 at Archive.today." In History of Accounting: An International Encyclopedia, edited by Michael Chatfield and Richard Vangermeersch. New York: Garland Publishing, 1996. pp. 410–411.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James O. McKinsey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.