James Rothman (amezaliwa 3 Novemba, 1950) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza seli na mawasiliano yake. Mwaka wa 2013, pamoja na Randy Schekman na Thomas Südhof, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

James Rothman akipokea zawadi kutoka kwa mfalme wa Sweden
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Rothman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.