Randy Schekman (amezaliwa 30 Desemba, 1948) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza seli na mawasiliano yake. Mwaka wa 2013, pamoja na James Rothman na Thomas Südhof, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Randy Schekman
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randy Schekman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.