Jamil Azzaoui (anajulikana pia kwa jina moja Jamil; alizaliwa 17 Mei 1961), ni msanii wa vichekesho / mchekeshaji, mwanamuziki, mpiga gitaa, na wakala wa wasanii wa asili ya Morocco anayeishi Montreal, Kanada.

Jamil Azzaoui

Anajulikana sana nchini Ufaransa na katika nchi zinazozungumza Kifaransa.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamil Azzaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.