Montreal (inaandikwa Montréal kwa Kifaransa) ni mji katika nchi ya Kanada. Ni mji mkubwa wa mkoa wa Quebec na pia wa pili kwa ukubwa katika Kanada nzima. Kuna wakazi zaidi ya milioni nne wanaoishi katika rundiko la mji huo.

Montréal

Bendera
Montréal is located in Kanada
Montréal
Montréal

Mahali pa mji wa Montral katika Kanada

Majiranukta: 45°30′00″N 73°40′00″W / 45.50000°N 73.66667°W / 45.50000; -73.66667
Nchi Kanada
Mkoa Quebec
Wilaya Montreal
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,620,693
Tovuti:  http://ville.montreal.qc.ca/
Mji wa Montreal, Canada

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Montreal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.