Jamiu Abiodun Alimi (alizaliwa 5 Oktoba 1992) ni mwanasoka wa kimataifa wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Sunshine Stars, kama mlinzi wa kati.

Jamiu Abiodun Alimi

Ushiriki Katika Klabu hariri

Jamiu Alizaliwa Lagos, Alimi alicheza apo awali na klabu kama Westerlo na Metalurh Donetsk.[1] Baadaye alichezea klabu za Tavriya Simferopol, Olympiakos Nicosia, Sharks, Shooting Stars, Kano Pillars na Akwa United. [2]

Ushiriki Kimataifa hariri

Alimi alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa Nigeria mwaka 2015.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamiu Alimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.