Jane Addams

Mwanaharakati wa Amerika, mwanasosholojia na mwandishi (1860-1935)

Laura Jane Addams (6 Septemba 186021 Mei 1935) alikuwa mwanasiasa na mwanaharakati wa amani kutoka nchi ya Marekani.

Jane Addams (1914)

Mwaka wa 1931, pamoja na Nicholas Butler, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Picha ya Jane Addams, kutoka kwa mchoro wa mkaa na Alice Kellogg Tyler wa 1892. Chanzo: Addams: Twenty Years at Hull House (1910), p. 114
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jane Addams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.