Jane Marian Joseph ( 31 Mei 18949 Machi 1929] ) alikuwa mtunzi, mpangaji na mwalimu wa muziki wa Uingereza. Pia alikuwa mwanafunzi na baadaye mshirika wa mtunzi Gustav Holst, akiwa muhimu katika usimamizi wa matamasha mbalimbali za muziki ambazo Holst aliyafadhili.[1]

Jane Joseph
Amezaliwa (1894-05-31)31 Mei 1894
23 Clanricarde Gardens, Notting Hill London
Amekufa 9 Machi 1929 (umri 34)

Marejeo

hariri
  1. "Explore the British Library". British Library. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 Mei 2020. Iliwekwa mnamo 8 Juni 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jane Joseph kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.