Janet Wanja

Mchezaji wa mpira wa wavu kutoka Kenya

Janet Wanja (alizaliwa Nairobi, 24 Februari 1984) ni mchezaji wa mpira wa vikapu wa kike kutoka nchini Kenya, aliyechezea nchi yake katika michezo ya Olimpiki ya mwaka wa 2004 mjini Athens, Ugiriki, akivalia jezi nambari 7. Waliibuka nambari kumi na moja na Timu ya wanawake ya kitaifa ya Kenya.

Amezichezea timu za Kenya Commercial Bank na Kenya Pipeline.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janet Wanja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.