Janet Zebedayo Mbene

Janet Zebedayo Mbene ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ileje kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

[2]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.