Jayde Riviere

Mchezaji wa mpira miguu wa Canada

Jayde Yuk Fun Riviere (alizaliwa 22 Oktoba 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada,ambae anacheza kama beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Kanada.[2]

Riviere na Kanada mnamo 2021

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jayde Riviere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.