Jemimah Sanyu

Mwanamuziki wa Uganda

Jemimah Sanyu (anajulikana pia kama Stage Gladiator) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji filamu, na mkufunzi wa Uganda.[1]

Jemimah Sanyu
Amezaliwa Jemimah Sanyu
25 Machi 1986
Uganda
Jina lingine Stage Gladiator
Kazi yake mwanamziki

Sanyu amekutana na watu kama Rais Yoweri Museveni wakati akiimba katika albamu yake ya I am a Ugandan. Ameshiriki jukwaa na nyota maarufu wa Kiafrika kama Habib Koite, Navio (rapa), Joanita Kawalya wa Afrigo Band, na Juliana Kanyomozi.[2] na wengine wengi.[3]


Viungo Vya Nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo

hariri
  1. "JEMIMA SANYU, AN ADORABLE THIEF". Wordpress. Confessions256. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Friends of Peter Nawe in Webale Video", Hipipo. Retrieved on 15 July 2013. Archived from the original on 2016-03-04. 
  3. "Jemimah Sanyu (Uganda)", Selam. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jemimah Sanyu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.