Jeni Couzyn
Jeni Couzyn (alizaliwa mwaka 1942) ni mshairi wa kike na mwanaantholojia nchini Afrika Kusini anayeishi na kufanya kazi nchini Canada na Uingereza.
Jeni Couzyn | |
Amezaliwa | 1942 Afrika kusini |
---|---|
Nchi | Afrika kusini |
Kazi yake | mshairi wa kike na mwanaantholojia |
Mkusanyiko wake unaojulikana zaidi unaitwa Life by Drownin (1985), ambao mwanzoni ulijumuisha mlolongo wa A Time to be Born (1981) ambao unasimulia ujauzito mpaka kuzaliwa kwa binti yake.[1][2][3]
Wasifu
haririCouzyn alizaliwa Afrika Kusini na kusomea katika chuo kikuu cha Natal. Alihamia Uingereza mnamo mwaka 1966 na akajiimarisha kama mwandishi wa kujitegemea. Alikuwa raia wa Canada mnamo mwaka 1975 na mwaka uliofuata aliteuliwa kuwa kama mwandishi wa makazi katika Chuo Kikuu cha Victoria, British Columbia. Tangu wakati huo amegawanya wakati wake kati ya Uingereza, Canada na Afrika Kusini. [4]
Kazi
haririMashairi
hariri- Mkusanyo wa kwanza wa Couzyn uliitwa Flying (1970). Makusanyo ya baadaye ni pamoja na Christmas in Africa (1975), A Time to be Born (1981), Life by Drowning (1985), na That's It (1993) [5]
- A Time to be Born inaelezea kuzaliwa kwa mwanaye ikijumuisha kutungwa kwa mimba hadi kuzaliwa kwa mtoto. [6]
Maandishi
haririCouzyn alihariri ‘’The Bloodaxe Book of Contemporary Women Poets’’ (1985), kilichowekwa kama kitabu cha kujifunzia kwa shule ya upili nchini Uingereza kwa wakati huo. Maandiko yaliyofuata ya, ‘’Singing Down the Bones’’ (1989), ililenga vijana wadogo.[5][7]
Ya ziada
haririCouzyn alishiriki katika uandishi wa vitabu viwili vya watoto. Akiwa na Julie Malgas, aliandaa maelezo juu ya Koos Malgas, mchonga sanamu aliyesaidia kuunda The Owl House, jumba la makumbusho lililopo Nieu-Bethesda, Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini, iliyotambuliwa kwa vielelezo vyake vya kimisionari.[8]
Marejeo
hariri- ↑ Jenny Stringer (mhr.). "The Oxford Companion to Twentieth-Century Literature in English". Oxford University Press.Kigezo:Subscription required
- ↑ Couzyn, Jeni; Sullivan, Rosemary (2006). Lampert, Arlene (mhr.). [[[:Kigezo:Google books]] The Selected Poems of Jeni Couzyn]. Exile Editions. ku. xi–xiii. ISBN 978-1550965384.
{{cite book}}
: Check|url=
value (help) - ↑ "Jeni Couzyn". Cambridge University Press. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-04. Iliwekwa mnamo 2021-04-17.
- ↑ [[[:Kigezo:Vitabu vya Google]] Mwongozo wa Columbia kwa Fasihi ya Afrika Kusini kwa Kiingereza Tangu 1945]. ISBN 978-0231130462.
{{cite book}}
: Check|url=
value (help); Unknown parameter|mchapishaji=
ignored (help); Unknown parameter|tarehe=
ignored (help) - ↑ 5.0 5.1 Stringer p. 145
- ↑ Papke, Renate (2010). [[[:Kigezo:Google books]] Poems at the Edge of Differences: Mothering in New English Poetry by Women]. University Of Akron Press. ISBN 1931968810.
{{cite book}}
: Check|url=
value (help) - ↑ Childs, Peter (1998). [[[:Kigezo:Google books]] The Twentieth Century in Poetry]. Routledge. ISBN 0415171016.
{{cite book}}
: Check|url=
value (help) - ↑ Malgas, Julia; Couzyn, Jeni (2008). Koos Malgas, sculptor of the Owl House. Nieu Bethesda: Firelizard. ISBN 9780953505821.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeni Couzyn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |