Jenny Bindon

mchezaji wa mpira kutoka marekani

Jenny Lynn Bindon (alizaliwa 25 Februari 1973) ni mzaliwa wa nchini Marekani na mkufunzi wa chama cha soka na golikipa wa zamani ambaye aliwakilisha New Zealand katika ngazi ya kimataifa. Alicheza mechi 77 za kimataifa kati ya mwaka 2004 na 2010. [1]

Picha ya Jenny Bindon
Picha ya Jenny Bindon

Aliwahi kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya soka ya wanawake ya Chuo Kikuu cha Loyola Marymount (LMU) . [2]

Marejeo

hariri
  1. "Caps 'n' Goals, New Zealand Women's national representatives". UltimateNZSoccer.com. The Ultimate New Zealand Soccer Website. Iliwekwa mnamo 11 Juni 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jenny Bindon - Women's Soccer Coach". Loyola Marymount University Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-05.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenny Bindon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.