Jenny Hallstenson
Mwanasoka wa Uswidi
'
Jenny Hallstenson | |
---|---|
Jenny Hallstenson | |
Amezaliwa | 29 Ocktoba 1980 |
Kazi yake | Mchezaji soko |
Jenny Hallstenson (alizaliwa 29 Oktoba 1980) ni kiungo wa soka wa Uswidi ambaye mara ya mwisho alikuwa akicheza katika Ligi ya Kwanza ya Uswidi kwa klabu ya QBIK. Awali alikuwa akicheza katika Damallsvenskan na QBIK na Göteborg FC,[1] na pia alicheza katika Ligi ya Mabingwa na klabu ya mwisho.[2]
Marejeo
hariri- ↑ https://svenskfotboll.se/damallsvenskan/person/?playerid=5345
- ↑ http://www.uefa.com/teamsandplayers/players/player=250040681/profile/index.html
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jenny Hallstenson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |