Jesús Daniel Gallardo (alizaliwa 15 Agosti 1994) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza katika timu ya taifa ya Mexiko na klabu ya Monterrey .

Jesús Gallardo
Jesús Gallardo akifurahia kufunga bao

Monterrey hariri

Tarehe 29 Mei mwaka 2018, Gallardo alijiunga na klabu ya Monterrey.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesús Gallardo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.