Jeshi la Kujenga Uchumi

Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (kwa kifupi JKUZ) ni kikosi cha ni jeshi lenye dhamira ya kuimarisha uchumi kwa kutoa mafunzo ya uzalishali,ufundi na Uzalendo. [1]

Historia

hariri

Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar lilianzishwa tarehe 3 Machi 1977 na aliekuwa raisi wa pili wa Zanzibar , Aboud Jumbe Mwinyi Jeshi la Kujenga uchumi linatokana na kambi za umoja wa vijana zilizokuwa na malengo ya kuwaunganisha Wanzibar,kambi hizi za vijana zilianzishwa rasmi tarehe 3 Machi 1965 na raisi wa kwanza wa Zanzibar Abedi Amani Karume.

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12.