Jessica von Bredow-Werndl

Jessica von Bredow-Werndl (Amezaliwa 16 Februari 1986).Ni Mjerumani anaye endesha farasi.[1][2]

Jessica von Bredow-Werndl

Von Bredow-Werndl alifuzu kwenye fainali ya kombe la duinia kwenye mashindano ya farasi ya mwaka 2014huko Lyon baada ya kumaliza nafasi ya nne katika msimamo wa ligi ya ulaya. Alishinda kwenye mashindano ya kufuzu kwenye ligi ya ulaya huko Gothenburg 2013/2014.[3]

Marejeo hariri

  1. https://data.fei.org/Person/Detail.aspx?personFeiID=10010680
  2. http://www.fei.org/bios/Person/10010680/VON_BREDOW_WERNDL_Jessica
  3. "Germany’s von Bredow-Werndl wins Reem Acra qualifier at Gothenburg". FEI (kwa Kiingereza). 2014-03-01. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.