Jessie Fleming

Mchezaji wa mpira wa miguu wa Canada

Jessie Alexandra Fleming (alizaliwa 11 Machi, 1998) ni mchezaji wa kandanda wa kulipwa kutoka Kanada anayeshiriki kama kiungo katika klabu ya ligi ya soka ya taifa ya wanawake ya Portland Thorns FC na ni Nahodha wa kandanda wa Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Kanada.[1][2][3][4]

Fleming akiwa na Portland Thorns FC mwaka 2024.

Marejeo

hariri
  1. Bribach, Winston (Oktoba 17, 2016). "Jessie Fleming attributes soccer expertise to track, hockey roots". Daily Bruin. Iliwekwa mnamo Desemba 6, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Dubinski, Kate (Januari 15, 2013). "Jessie Fleming fears for her high-school athletic career". The London Free Press. Iliwekwa mnamo Julai 18, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "2013 – OFSAA Track and Field Results" (PDF). Ontario Federation of School Athletic Associations. Iliwekwa mnamo Julai 17, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Hensen, Mike (Mei 14, 2014). "High School Track And Field: Charlotte Prouse and Jessie Fleming are prepared to go the distance". The London Free Press. Iliwekwa mnamo Julai 18, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jessie Fleming kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[[Jamii:{{ #if:1998|Waliozaliwa 1998|Tarehe ya kuzaliwa