11 Machi

tarehe
Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Machi ni siku ya 70 ya mwaka (ya 71 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 295.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Pioni wa Smirna, Trofimo na Talo, Konstantino wa Britania, Sofroni wa Yerusalemu, Vindisiani, Benedikto wa Milano, Oengus, Eulogi wa Kordoba, Dominiko Cam, Marko Chong Ui-bae na Aleksi U Se-yong n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 11 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.