Jezi (kutoka neno la Kiingereza "jersey") ni vazi au nguo linalovaliwa na wachezaji pindi wakiwa wanacheza uwanjani, hasa katika mchezo wa mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu na voliboli.

Jezi uwanjani.

Pia inaweza kutumika kama sare katika nafasi nyingine mbalimbali.

Madhumuni ya jezi

hariri
  • 1. Kutambulisha timu za wachezaji wakiwa uwanjani.
  • 2. Iwe rahisi kumtambua mchezaji akiwa uwanjani au akifanya kosa.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Jezi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.