Jill Goldthwait
Mwanasiasa wa Marekani
Jill Goldthwait Ni mwanasiasa wa kimarekani kutokea Maine.[1] Goldthwait amekulia katika mji wa New Jersey na kupata Shahada ya Awali ya uuguzi katika mji wa California, Alihudumu kama mfanyakazi wa kujitolea wa Peace Corps huko Tonga. Alihamia Maine mnamo mwaka 1978 na kuishi katika eneo la Bar Harbor.Alifanya kazi kama muuguzi wa idara ya dharura katika Hospitali ya Mount Desert Island kwa muda wa miaka 9..
Marejeo
hariri- ↑ "Bangor Daily News - Google News Archive Search". news.google.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jill Goldthwait kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |