Kırklareli ni mji mkuu wa Jimbo la Kırklareli mjini Thrace ya Mashariki, katika sehemu ya Ulaya huko Uturuki. Mji una wakazi wapatao 66,000, kwa mujibu wa sensa walizofanya mnamo mwaka wa 2000. Mji upo katika kimo cha mita 203O kutoka juu ya usawa wa bahari.

Statue of Krkşehitler

Picha hariri


Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kırklareli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.