Tonj (jimbo)

Jimbo la Tonj, Sudani kusini
(Elekezwa kutoka Jimbo la Tonj)


Tonj State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Tonj State
Mahali paTonj State
Mahali paTonj State
Mahali pa Tonj katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Tonj
Idadi ya kaunti 22
Idadi ya manispaa 1
Serikali
 - Gavana Anthony Bol Madut
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 448,950

Imegawanyika katika kaunti 22 (nyingi kuliko jimbo lolote), mbali na manispaa ya Tonj[1].

Kaunti hizo ni:

Tanbihi hariri

  1. Atekdit, Ariik (28 Juni 2016). "Tonj State Governor Appoints Commissioners For 19 Counties". Gurtong. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-21. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tonj (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.