Jimmy Carter

Rais wa Merika kutoka 1977 hadi 1981

James Earl Carter, Jr (1 Oktoba 192429 Desemba 2024) alikuwa Rais wa 39 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1977 hadi 1981. Kaimu Rais wake alikuwa Walter Mondale. Akiwa mwanachama wa chama cha Democratic, alikuwa rais aliyeishi muda mrefu zaidi katika historia ya Marekani, na wa kwanza kufikia umri wa miaka 100. Carter alizaliwa na kukulia katika Plains, Georgia. Alihitimu kutoka Jeshi la Marekani, Naval Academy mwaka 1946. Carter alirudi nyumbani baada ya utumishi wake wa kijeshi na kuanzisha tena biashara ya familia yake ya kukuza karanga. Alipinga ubaguzi wa rangi, aliunga mkono kuongezeka kwa harakati za haki za kiraia kama mwanasiasa wa Georgia.

Jimmy Carter


Muda wa Utawala
January 20, 1977 – January 20, 1981
Makamu wa Rais Walter Mondale
mtangulizi Gerald Ford
aliyemfuata Ronald Reagan

tarehe ya kuzaliwa 1 Oktoba 1924
tarehe ya kufa 29 Desemba 2024
chama Democratic
ndoa Rosalynn Smith (m. 1946–present) «start: (1946-07-07)»"Marriage: Rosalynn Smith to Jimmy Carter" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Jimmy_Carter)
makazi Plains, Georgia, Marekani
dini Ukristo
signature

Tazamia pia

hariri

Marejeo

hariri

{{Navbox | name = Marais wa Marekani | title = Marais wa Marekani | image =   | imageleft =  

| list1 = 1 George Washington · 2 John Adams · 3 Thomas Jefferson · 4 James Madison · 5 James Monroe · 6 John Quincy Adams · 7 Andrew Jackson · 8 Martin Van Buren · 9 William Henry Harrison · 10 John Tyler · 11 James K. Polk · 12 Zachary Taylor · 13 Millard Fillmore · 14 Franklin Pierce · 15 James Buchanan · 16 Abraham Lincoln · 17 Andrew Johnson · 18 Ulysses S. Grant · 19 Rutherford B. Hayes · 20 James A. Garfield · 21 Chester Arthur · 22 Grover Cleveland · 23 Benjamin Harrison · 24 Grover Cleveland · 25 William McKinley · 26 Theodore Roosevelt · 27 William Howard Taft · 28 Woodrow Wilson · 29 Warren G. Harding · 30 Calvin Coolidge · 31 Herbert Hoover · 32 Franklin D. Roosevelt · 33 Harry S. Truman · 34 Dwight D. Eisenhower · 35 John F. Kennedy · 36 Lyndon B. Johnson · 37 Richard Nixon · 38 Gerald Ford · 39 Jimmy Carter · 40 Ronald Reagan · 41 George H. W. Bush · 42 Bill Clinton · 43 George W. Bush · 44 Barack Obama · 45 Donald Trump · 46 Joe Biden · 47 Donald Trump

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Carter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.