Gerald Ford
Gerald Rudolph Ford, Jr (14 Julai 1913 – 26 Desemba 2006) alikuwa Rais wa 38 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1974 hadi 1977. Kaimu Rais wake alikuwa Nelson Rockefeller.
Gerald Ford | |
Rais Ford mnamo Agosti 1974 | |
Muda wa Utawala August 9, 1974 – January 20, 1977 | |
mtangulizi | Richard Nixon |
aliyemfuata | Jimmy Carter |
tarehe ya kuzaliwa | Omaha, Nebraska, Marekani | Julai 14, 1913
tarehe ya kufa | 26 Desemba 2006 (umri 93) |
mahali pa kuzikiwa | Gerald R. Ford Presidential Museum |
chama | Republican |
ndoa | Betty Bloomer (m. 1948–present) |
watoto | Michael Gerald Ford John Gardner Ford Steven Ford Susan Ford |
mhitimu wa | University of Michigan, Ann Arbor Yale University |
signature |
Tazamia pia
hariri}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gerald Ford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |