Jimnastiki (kutoka Kiingereza: gymnastics) ni mchezo unaohitaji nguvu, uimara na uvumilivu wa misuli.

Jimnastiki

Mchezo huo uligundulika huko Ugiriki, na jina jimnastiki limetokana na neno Gymnos kwa Kigiriki ambalo linamaanisha utupu.

Mchezo huo una faida nyingi sana; baadhi ya faida hizo ni kwamba huimarisha mwili, hudumisha kumbukumbu n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Jimnastiki kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.